У нас вы можете посмотреть бесплатно SANAA KUNA WAKATI NI NGUMU, ILA SIKUKATA TAMAA | NNS S02: EP05 NA MARY MWACHA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika episode hii ya Ndoto Ni Safari (NNS), tunazungumza kuhusu changamoto za sanaa, maisha ya msanii, na namna ya kutokata tamaa pale mambo yanapokuwa magumu. Kupitia simulizi ya kweli, tunagusa masuala ya ndoto, mchakato wa kujijenga, na safari ya maisha ambayo wasanii wengi na vijana wanapitia kimya kimya. Hii ni episode kwa yeyote anayehisi sanaa ni ngumu, maisha hayako sawa, au ndoto zinaonekana mbal, lakini bado anaamua kuendelea. 🎙️ Ndoto siyo rahisi, lakini safari ndiyo inatufundisha Host- @allen_simba1 Camera oparator- @izack_valema Social Media Team- @abdallah_dugila @barbara_bravo Production by - @valemamedia #NdotoNiSafari #PodcastTanzania #Sanaa #Maisha #Ndoto #Safari #Motivation #Wasanii #Changamoto #LifeJourney