• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

SIRI 5 KUANZA NA KUFANIKIWA KWENYE KITU CHOCHOTE KWENYE MAISHA (Safari ya NDOTO zako) скачать в хорошем качестве

SIRI 5 KUANZA NA KUFANIKIWA KWENYE KITU CHOCHOTE KWENYE MAISHA (Safari ya NDOTO zako) 1 год назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
SIRI 5 KUANZA NA KUFANIKIWA KWENYE KITU CHOCHOTE KWENYE MAISHA (Safari ya NDOTO zako)
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: SIRI 5 KUANZA NA KUFANIKIWA KWENYE KITU CHOCHOTE KWENYE MAISHA (Safari ya NDOTO zako) в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно SIRI 5 KUANZA NA KUFANIKIWA KWENYE KITU CHOCHOTE KWENYE MAISHA (Safari ya NDOTO zako) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон SIRI 5 KUANZA NA KUFANIKIWA KWENYE KITU CHOCHOTE KWENYE MAISHA (Safari ya NDOTO zako) в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



SIRI 5 KUANZA NA KUFANIKIWA KWENYE KITU CHOCHOTE KWENYE MAISHA (Safari ya NDOTO zako)

Kila mtu anatamani kuanza lakini sio wote wanapiga hatua ya ujasiri na kuanza safari ya ndoto na mafanikio yako. Na wachache walifanikiwa kuanza, wanaanguka na kushindwa kuamka na kuanza upya. Kuna siri 5 zinazoweza kukusaidia kuanza au kuanza upya na kufanikiwa kwenye kitu chochote unachotamani kufanya kwenye maisha yako. Ndoto yoyote haiwezi kutimia kabla ya kuamka na kuanza kuifanyia kazi kwa hatua halisi. Jiunge na Michael Kamukulu kupitia ‪@lenzi.michaelkamukulu‬ ili uweze kujifunza jinsi ambavyo siri hizi zinaweza kukuondolea na kukusaidia kuishinda hofu ya kuanza au kuanza upya. Acha kuogopa, inuka upige hatua ya ujasiri na uziendee ndoto zako za maisha ya mafanikio; usisubiri hali iwe nzuri na rahisi. Hatua ya kwanza unayochukua leo ndiyo inayokupeleka kwenye mafanikio. Jifunze jinsi ya kuwa mtu wa tofauti, na upate fursa na nafasi ya kuinuka na kusimama imara ukiwa kiongozi na mwongoza njia wa maisha yako na kuwa na ushawishi kwa watu wengi. Pata maarifa na ujuzi utakaokubadilisha na kuwa na tabia za watu wenye mafanikio na matokeo makubwa kifedha na kimaisha kwa ujumla. Ni wakati wako kung'ara na kuwa mtu wa thamani zaidi kwa wengine na kwa maisha yako. Utajiri na umasikini vyote viko kwenye nguvu ya tabia, mienendo na maamuzi yako ya kila siku. Kwenye video hii utajifunza mbinu na siri 5 za kuanza au kuanza upya safari yako ya mafanikio katika maisha. 01. Anzia hapo ulipo Usingojee mpaka upate mazingira bora, mtaji mkubwa au maarifa yote. Anza na kile unachoweza kufanya sasa hivi. Hata kama ni hatua ndogo, inakukaribisha kwenye safari ya maendeleo. 02. Anza na hicho ulichonacho Huna kila kitu, lakini una kitu cha kuanzia. Una maarifa, vipaji, muda, simu, au hata marafiki wanaoweza kukusaidia. Usitafute visingizio—tumia rasilimali zilizopo kwa ubunifu. 03. Anza bila kujali waliokutangulia Watu wengi huchelewa kuanza kwa sababu wanaogopa ushindani au kuona wengine wamefanya makubwa. Kumbuka, kila mtu ana safari yake. Usijilinganishe—anza safari yako bila hofu. 04. Usijali safari ya mtu mwingine Wengine wanaweza kuanza baada yako na wakafanikiwa haraka, lakini hiyo haimaanishi umeshindwa. Kila mtu ana mwendo wake. Jifocus kwenye maendeleo yako binafsi badala ya kulinganisha maisha yako na ya wengine. 05. Yakubali mapungufu yako na anza nayo hivyo hivyo Huwezi kuwa mkamilifu mwanzoni, na hiyo ni sawa. Safari yako itakufundisha, utakua, na hatimaye utakuwa bora zaidi. Usikubali hofu ya kutokamilika ikuzuie kuanza—anza, jifunze, na endelea mbele! Mafanikio yako yanategemea hatua unayochukua leo. Hivyo, usisubiri kesho—ANZA SASA 🔔 Usisahau: ✔️ Ku-like, ku-subscribe, na kushare video hii na wengine! ✔️ Kuweka maoni yako—ni ipi mbinu inayokuvutia zaidi? ——————————————— Wasiliana nasi kwa huduma zaidi ikiwemo: 1. Mafunzo na mwongozo maalum wa kufikia malengo (personal/individual coaching) 2. Mafunzo na mwongozo maalum kwa makundi na taasisi (group coaching) 3. Ushauri wa kitaalam kuhusu maendeleo binafsi (personal development) Mawasiliano yetu: Simu: +255 752 465 039 Baruapepe: lenzimindset@gmail.com * * Pata Kozi Kuhusu jinsi ya kujiajiri na kuongeza kipato kwa kutumia MAUDHUI kwa bei nafuu ya TZS 15,000 tu kupitia hapa https://tr.ee/UTrb-ghbfk #HatuaMojaMbeleKilaSiku #michaelkamukulu #lenzimindset #lenziacademy Chapters 00:00 Safari ya ndoto zako 00:38 1. Anzia hapo ulipo 02:00 2. Anza na hicho ulichonacho 02:45 3. Anza bila kujali waliokutangulia 03:45 4. Usijali safari ya mtu mwingine 04:48 5. Anza na mapungufu yako 07:03 Closing

Comments
  • Yasiyosemwa Kuhusu Kujiamini 6 месяцев назад
    Yasiyosemwa Kuhusu Kujiamini
    Опубликовано: 6 месяцев назад
  • ISHARA 10 KWAMBA UMEKOMAA KIUPEO, KIAKILI, KIFIKRA NA KIMTAZAMO 1 год назад
    ISHARA 10 KWAMBA UMEKOMAA KIUPEO, KIAKILI, KIFIKRA NA KIMTAZAMO
    Опубликовано: 1 год назад
  • TFF Wamjibu Jumanne Muliro Kuhusu Mafwele . Wanasema Hivi 6 часов назад
    TFF Wamjibu Jumanne Muliro Kuhusu Mafwele . Wanasema Hivi
    Опубликовано: 6 часов назад
  • NDOTO 7 ZENYE TAFSIRI YA UTAJIRI KAMA UMEWAHI KUOTA SAHAU KUHUSU UMASIKINI 3 года назад
    NDOTO 7 ZENYE TAFSIRI YA UTAJIRI KAMA UMEWAHI KUOTA SAHAU KUHUSU UMASIKINI
    Опубликовано: 3 года назад
  • SIRI 5 ZA WANAWAKE: Mambo 5 kuhusu saikolojia ya mwanamke! 3 недели назад
    SIRI 5 ZA WANAWAKE: Mambo 5 kuhusu saikolojia ya mwanamke!
    Опубликовано: 3 недели назад
  • Kanuni 9 Za KIFEDHA Matajiri Wanazozifahamu Ambazo Maskini Hawazifahamu 1 год назад
    Kanuni 9 Za KIFEDHA Matajiri Wanazozifahamu Ambazo Maskini Hawazifahamu
    Опубликовано: 1 год назад
  • TABIA ZA MAFANIKIO - TONY KAPOLA | Usipuuze Hizi Tabia Kama Unataka Mafanikio Makubwa! #PT #wisdom 1 год назад
    TABIA ZA MAFANIKIO - TONY KAPOLA | Usipuuze Hizi Tabia Kama Unataka Mafanikio Makubwa! #PT #wisdom
    Опубликовано: 1 год назад
  • JINSI WATU WANAVYO KUGHARIMU KWENYE MAISHA (WATU 5 WANAOKUPOTEZA BILA KUJUA) 1 год назад
    JINSI WATU WANAVYO KUGHARIMU KWENYE MAISHA (WATU 5 WANAOKUPOTEZA BILA KUJUA)
    Опубликовано: 1 год назад
  • KWANINI KUNA WADUDU WENGI NYUMBANI KWAKO ? Трансляция закончилась 2 года назад
    KWANINI KUNA WADUDU WENGI NYUMBANI KWAKO ?
    Опубликовано: Трансляция закончилась 2 года назад
  • LISSU APATA USHINDI? UMOJA WA MATAIFA WAIKAANGA SERIKALI BILA HURUMA, WAKILI NSHALA ASHINDWA KUVUM.. 15 часов назад
    LISSU APATA USHINDI? UMOJA WA MATAIFA WAIKAANGA SERIKALI BILA HURUMA, WAKILI NSHALA ASHINDWA KUVUM..
    Опубликовано: 15 часов назад
  • Mambo 5 Yanayokupoteza Kwenye Ramani | Michael Kamukulu 1 год назад
    Mambo 5 Yanayokupoteza Kwenye Ramani | Michael Kamukulu
    Опубликовано: 1 год назад
  • MAMBO YA KUZINGATIA KIJANA UNAPOHITAJI KUJITEGEMEA. MR KALUNGU 2 года назад
    MAMBO YA KUZINGATIA KIJANA UNAPOHITAJI KUJITEGEMEA. MR KALUNGU
    Опубликовано: 2 года назад
  • Ilinichukua Miaka 50+ Kutambua Nitakayokuambia Ndani ya Dakika 5… 8 дней назад
    Ilinichukua Miaka 50+ Kutambua Nitakayokuambia Ndani ya Dakika 5…
    Опубликовано: 8 дней назад
  • EVA SHAYO Kuhusu Watekaji Watanzania Waliokamatwa Kenya. Walimteka Mwanaharakati Mshabaha Hamza 19 часов назад
    EVA SHAYO Kuhusu Watekaji Watanzania Waliokamatwa Kenya. Walimteka Mwanaharakati Mshabaha Hamza
    Опубликовано: 19 часов назад
  • MISINGI 10 YA FEDHA, MAISHA NA MAFANIKIO 7 лет назад
    MISINGI 10 YA FEDHA, MAISHA NA MAFANIKIO
    Опубликовано: 7 лет назад
  • Saikolojia YA PESA (AcademyLIVE Трансляция закончилась 1 год назад
    Saikolojia YA PESA (AcademyLIVE
    Опубликовано: Трансляция закончилась 1 год назад
  • 'KAPIMENI MAKUNDI YA DAMU KABLA YA KUOANA' MTAALAMU AFUNGUKA YOTE 3 года назад
    'KAPIMENI MAKUNDI YA DAMU KABLA YA KUOANA' MTAALAMU AFUNGUKA YOTE
    Опубликовано: 3 года назад
  • UKIVUMILIA haya, utadharauliwa maisha yako yote!. (Acha mara moja!) 2 недели назад
    UKIVUMILIA haya, utadharauliwa maisha yako yote!. (Acha mara moja!)
    Опубликовано: 2 недели назад
  • JUSTINE KESSY AFICHUA SIRI YA SOWAH KUFUKUZWA NA SIMBA KWELI YANGA NI WABABE 13 часов назад
    JUSTINE KESSY AFICHUA SIRI YA SOWAH KUFUKUZWA NA SIMBA KWELI YANGA NI WABABE
    Опубликовано: 13 часов назад
  • Kuwa na Tabia za Watu Wenye Matokeo na Mafanikio (Katika FEDHA, MAENDELEO na USHAWISHI) 1 год назад
    Kuwa na Tabia za Watu Wenye Matokeo na Mafanikio (Katika FEDHA, MAENDELEO na USHAWISHI)
    Опубликовано: 1 год назад

Контактный email для правообладателей: u2beadvert@gmail.com © 2017 - 2026

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5