У нас вы можете посмотреть бесплатно DK BILAL AMBAYE MKEWE na WANAWE 2 WAMEHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA AIBUKA na MAPYA, AITAJA GLOBAL TV или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DK BILAL AMBAYE MKEWE na WANAWE 2 WAMEHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA AIBUKA na MAPYA, AITAJA GLOBAL TV... Mwaka mmoja uliopita, Daktari wa PHD, Bilal Miromo alipata mtihani mzito baada ya familia yake kwa maana ya mkewe na wanawe wawili kuhukumiwa kunyongwa. Global TV iliusimulia mkasa huo kwa undani wake hivyo Dk Bilal ameialika nyumbani kwake mkoani Morogoro na kuishukuru kwa namna ilivyopeperusha simulizi hiyo. Mke na watoto wa Dk Bilal walihukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia katika kesi ya mauaji iliyokuwa ikiwakabili. Shukrani za Dk Bilal zinakuja siku chache baada ya hivi karibuni rufaa yake kukubaliwa na Serikali kupitiwa upya wanasheria wake tayari kwa kusikilizwa kwa mara nyingine; yaani mara ya pili hivyo itabakisha rufaa moja ili iwe imesikilizwa mara tatu. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline