У нас вы можете посмотреть бесплатно MLIMA MKUBWA NJOMBE WAPOROMOKA NA KUFUNGA BARABARA YA IKONDA-LUPILA -MLANGALI , WANANCHI WAONYWA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MLIMA MKUBWA NJOMBE WAPOROMOKA NA KUFUNGA BARABARA YA IKONDA-LUPILA -MLANGALI , WANANCHI WAONYWA BALAA JINGINE ARUSHA, MVUA KUBWA YAKWAMISHA MAGARI MASAA NANE | DARAJA LAFUNIKWA WATU 19 WAFARIKI RUFIJI, MOROGORO, PWANI NA ARUSHA |SERIKALI YATOA TAMKO, WANANCHI WAPEWA TAHADHARI MAFURIKO YASABABISHA VIFO ARUSHA| WANANCHI WACHARUKA WAMLILIA RAIS SAMIA ,MKANDARASI AFUNGUKA Mvua kubwa zinazonyesha katika maeneo mbambali mkoani Njombe zimeendelea kusababisha madhara ikiwemo kwenye miundombinu ya barabara ambapo wananchi wa wilaya ya Makete pamoja na Ludewa wanaotumia barabara ya Ikonda-Lupila-Mlangali wameshindwa kutumia njia hiyo kutokana na kuporomoka kwa udongo wa mlima na kufunga barabara hiyo katika eneo la kijiji cha Masisiwe wilayani Makete. Katibu tawala mkoa wa Njombe Judica Omary ametoa tahadhari kwa wananchi wanaotumia njia hiyo huku akiomba kutoitumia kwa muda mfupi wakati serikali kwa kushirikiana na wakala wa barabara Tanzania TANROAD's wanaendelea kutafuta njia mbadala kwa kuwa mlima huo una dalili za kuendelea kushuka kutokana na mvua zinazonyesha #njombe #mvua #trending #raissamia #ikulumawasiliano #mwanza #ccm #serikali #nyamagana #ilemela #daressalaam