У нас вы можете посмотреть бесплатно TANZANIA Yajenga MAABARA UTHIBITI wa NYUKILIA, NCHI Za A. MASHARIKI ZAITEGEMEA.. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
TANZANIA Yajenga MAABARA UTHIBITI wa NYUKILIA, NCHI Za A. MASHARIKI ZAITEGEMEA.. SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia inaendelea na Ujenzi wa awamu ya pili wa Maabara Changamano katika Tume ya Nguvu ya Atomic ambayo itakayo kuwa na Maabara nane na kituo cha usalama wa mionzi na kinga ambapo hadi sasa umefikia asilimia 85. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Agosti 13,2021,ambao walifika katika eneo la ujenzi wa mradi huo,Mkurugezi wa Huduma za Tume ya Nguvu ya Atomic Tanzania (TAEC) Edgar Mbaganile amesema mradi huo uligawanyika katika awamu mbili. Amesema awamu ya kwanza ya mradi huo ambao una maabara nne zinazofanya kazi ulianza kujengwa mwaka 2017 na uliingarimu Serikali shilingi bilioni 2.3. Mkurugenzi huyo amesema mara baada ya kukamilika mradi huo waliingia mkataba wa pili na TBA wenye thamani ya shilingi bilioni 10.4 ambapo hadi sasa Serikali kupitia Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia imeishatoa shilingi bilioni 6.1 na mradi huo umefikia asilimia 85. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvo... ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY: http://shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline