У нас вы можете посмотреть бесплатно Yuzzo Mwamba - Simulia (Official Music Video) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Official Music For "Simulia" by Yuzzo Mwamba Listen to my EP "Son of the Pastor": • Yuzzo Mwamba - Simulia (Official Music Video) Follow Yuzzo Mwamba Instagram: / yuzzo_mwamba YouTube: / yuzzomwamba Credits: Video Directed by SAMG of @onskymedia Cast: @MkaliWenuOriginal Digital Branding & Marketing: Mavin Inc. Instagram: / mavinmagmt Email: mavinmagmt@gmail.com WhatsApp/Call: +255759628220 Yuzzo Mwamba - Simulia Lyrics Juzi nlkuwa chenga sina kitu jua la utosi Skuwa hata na buku ya kujipatia msosi Ile kuchalika bwana nikapata vinoti Nika jisema leo ngoja nivimbe kiboss Ile akili ya kupika kaka tayari ikatoka Yani kupata hela na mwili wote ukachoka Nasema nile ugali kchwani voice inafoka Leo upatie mwili vimishkaki na koka Nkatoka nimeji koki kuelekea ndani Ila nkichek nguo zote ni chafu jamani Ila ukipata pesa una change sio utan Et nkaanza jsemesha hiz zote atafua nani? Kwanza niki cheki kuna dalili ya mvua Ila so kesi kun bi dada anafua Anaitwa linda nka call sorry nakusunbua Kuna nguo hapa home vipi unaweza kufua Kajibu worry not bas ntazifata mida Tena ntazifua kwako wala haina shida Hata zikiwa nyingi kama minamba ya NIDA Fanya andaa pesa yangu kama kawaida Nikajbu bwana pesa ni kitu kidogo nmeshinda bss yuzzo sina shida ndogo Yan nme chafukwa pesa utasema kigogo Ila ukifka n txt maana natoka kidogo Bas nkaenda kula kiepe nakunywa soda Sina hata mawazo yan utam kunoga Ile sjamalza meseji namba ya voda Bwana wahi nmefika nipo kwako nakungoja Hata skumalizia kula nkaona haina haja Nina pesa sitembei leo naagiza baja Ila kufika kwel namkuta mfuaji kaja Kafua nguo tatizo kaanza kuanika mapaja kakalegeza macho nakusema twende ndani kweli wanaume mbwa ila madem mashetani karibu kitumbua nimekupikia chai utakula ndo ule au utakula hujali kanaposema hvyo kuna mziki kwa mbali nyimbo ya harmonize leo nakutoa mali basi kafunga mlango ilituanze kusali mi ni mchungaji wa ng'ombe ila natoa mashetani ile nataka kunesa mwanangu nje akagonga oya yuzzo niaje emtoka mara moja nikatikisa kitanda ili ajue kumenoga na mtoto akakazia yuzo hakuna kutoka mwana akazidi kugonga bila kukata tamaa akatuma message akapiga simu kazaa alipoona kimya mwanangu akajikataa na mi nikasema message ntasoma nikisha kaa basi nikaanza nakula nakula bila kunawa maana nimala chache nakulaga machotara japo moyo ulisita nilipo mkumbuka mwana ila shetni akasema wana wana wivu sana ile namaliza kula nikakosa chakufanya ngoja nisome message alizonitumia mwana uyo demu ana homa ameungua kinoma kam umekula kavu yuzo mwanangu umekwama anakula vidonge ndo ananenepa kinoma nakote alikofua amesha sambaza sana nmekuletea salama nimeweka kwa dirisha yuzo ukizitumia utanusuru maisha nikaweka simu chini nikamuangalia mtoto ndani kuna baridi ila mwamba naliona joto na bora nilianza ili ndo nile mtoto maana ka ningekula mtoto ningeona moto nikamuonesha message akabaki anashangaa niliposema tupime tu akapandisha kichaa sasa apa nauliza kama mwana yupo kwake ili nimshukuru nimpe kondom zake #YuzzoMwamba #Simulia #047Gang