У нас вы можете посмотреть бесплатно Jinsi ya Kutengeneza TIKETI ZA BASI kwa Microsoft Word | How to Create Bus Tickets Using MS Word или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jinsi ya Kutengeneza Tiketi za Basi kwa Microsoft Word | How to Create a Bus Ticket Using MS Word Robin Sharma amewahi kusema kuwa "Fursa iko kila mahali… jambo la muhimu ni kukuza uwezo wako wa kuiona." Tim Fargo akaongeza kuwa “Fursa huwa haifanyi miadi; lazima uwe tayari wakati inakujia.” Lakini kwa bahati mbaya watu wengi huwa wanafikiri kuwa watu wengine wana bahati pale wanapoweza kuifanyia kazi fursa iliyojitokeza mbele yao. Lakini si kumbe sio kwamba wana bahati. Akipinga hilo la kuwa fursa ni bahati, Roy D. Chapin, Jr alisisitiza akisema "Kuwa tayari wakati fursa inakuja ... kwani bahati ni wakati ambapo maandalizi na fursa hukutana." Kumbe wale tunaowaita kuwa wana bahati huwa wamejiandaa. Lakini fursa ikitokea na bahati mbaya ukawa hujajiandaa, wewe ipokee. Ndiyo maana Richard Branson aliandika kuwa “Ikitokea mtu akakupa fursa ya kushangaza lakini haujui kama unaweza kuifanya, sema ndio - kisha jifunze jinsi ya kuifanya baadaye.” Basi nakukaribisha tujifunze pamoja “JINSI YA KUTENGENEZA TIKETI ZA BASI KWA MICROSOFT WORD” LINK: • Jinsi ya Kutengeneza TIKETI ZA BASI kwa Mi... Tafadhali fuatilia Somo hili Mpaka mwisho ili upate Elimu Kamili juu ya Uandaaji wa Tiketi za Basi. #Mwalimu_Bassu #ELIMU_YA_KOMPYUTA_BURE #Microsoft_Word PICHA ILIYOTUMIKA https://pixabay.com/photos/neoplan-ce... ==PIA WAWEZA JIFUNZA== JINSI YA KUANDIKA CV BORA YA MAOMBI YA AJIRA LINK: • Jinsi ya KUANDIKA CV BORA ya Maombi ya Aji... “JINSI YA KUANDAA KADI YA MWALIKO WA KIPAIMARA” Kwa Microsoft Word. LINK: • Jinsi Ya KUANDAA KADI ya MWALIKO WA KIPAIMARA JINSI YA KUCHORA KWA KOMPYUTA tukitumia Mfano wa “MICROMETER SCREW GAUGE”. LINK: • Jinsi ya Kuchora MICROMETER SCREW GAUGE kw... JINSI YA KUCHORA KWA KOMPYUTA tukitumia Mfano wa “VERNIER CALIPERS”. LINK: • JINSI YA KUCHORA VERNIER CALIPERS KWA KUTU... JINSI YA KUANDAA STICKER BORA NA RAHISI ZA KARANGA TAMU ZA MAYAI kwa Microsoft Word. LINK: • Jinsi Ya Kuandaa Sticker Bora na Rahisi za... JINSI YA KUTENGENEZA LOGO Kwa Microsoft Word. LINK: • Jinsi ya Kutengeneza LOGO kwa Microsoft Wo...