У нас вы можете посмотреть бесплатно Mgogoro wa ardhi Tondoroni, DC Kisarawe aingilia kati, Wananchi wataka umalizwe nje ya Mahakama или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Zaidi ya wananchi 2000 kutoka katika kijijji cha Tondoroni Mji mdogo wa Kiluvya, Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani wametoa wito kwa Serikali wakitaka mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka mingi katika eneo lao umalizwe nje ya mahakama kwani wanaamini hekima na busara ndivyo vinaweza kuwapa haki yao ya kuishi eneo hilo. Mgogoro huo ambao upo mahakani kwa kesi namba 85 ya mwaka 2016 na rufaa namba 494 ya mwaka 2021 unawakabili wananchi hao dhidi ya Wizara ya Ulinzi. Hata hivyo pamoja na kuwepo kwa kesi hiyo mahakamani, Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Nickson Simon ameamua kufika kijijjini hapo kuwasikiliza wananchi.