У нас вы можете посмотреть бесплатно Hustler: Jessica Mshama - alikabidhiwa supermarket ikiwa na Mil. 80, amekuza mtaji hadi Mil. 200 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jessica Mshama ni binti mwenye miaka 24 ambaye mwaka huu alishinda tuzo ya Malkia wa Nguvu kutokana na mafanikio aliyoyapata akiwa na umri mdogo. Akiwa na umri wa miaka 21, wazazi wake walimkabidhi supermarket iitwayo J Sisters iliyopo Sinza Mori, Dar es Salaam ikiwa na mtaji wa milioni 80. Chini ya usimamizi wake, amefanikiwa kukuza mtaji hadi kufikia zaidi ya milioni 200. Binti huyu ni #Hustler kweli kweli na haoneshi dalili ya kusimama. Mfahamu zaidi na vingine anavyovifanya