У нас вы можете посмотреть бесплатно JPM: "Johari Ningekuwa na Binti Ningekupa Uoe" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
JPM: "Johari ni Johari Kweli katika kazi, Ningekuwa na Binti Ningekupa" Rais Magufuli leo Septemba 16 amezindua Rada ya kuongozea ndege katika uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam pamoja na nyingine moja ya mkoani Kilimanjaro, ambapo huku Rada ya Mwanza na Songwe zilikiwa bado hazijakamilika, serikali imenunua Rada nne kwa shiling Bilion 67 kwaajilio yakulionda anga la Tanzania ambapo awali Serikali ilikuwa na Rada moja ambayo ilikuwa inaona asilimia 25 ya nchi nzima. Aidha Rais Magufuli amechukua nafasi hiyo kumshukuru Mkurugenzi Mkuu TCAA wa Johari Hamza kwakuafanikisha kukamilika kwa mradi huo utakaofanikisha Anga la Tanzania kuonekana kwa asilimia mia moja ambapo pia ameahidi kumlipia Nauli kwaajili ya kwenda Hija. #Rada https://www.youtube.com/playlist?list... https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho