У нас вы можете посмотреть бесплатно WANAWAKE MANISPAA YA MPANDA WAFANYA MAANDAMANO MAKUBWA KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wanawake Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi wamefanya maandamano pamoja na kongamano ambalo limehusisha matukio mbalimbali ya kimichezo kama kuvuta kamba, kukimbiza kuku,kula Mayai kwa kijiko, kunywa soda kwa dakika moja pamoja na michezo Mingine. Maandamano hayo yamefanyika katika Barabara za Manispaa ya Mpanda kisha ikafuatiwa na michezo iliyofanyika katika viwanja vya ukumbi wa Manispaa. Mgeni Rasmi katika tukio hilo, akimwakilisha Mkuu wa wilaya ya Mpanda Katibu Tawala wa wilaya Bi. Fidesiana Mwanakulya amesema kuwa Serikali iko sambamba na wanawake katika kuwawezesha katika shughuli zao za kiuchumi kwa kuwapatia mikopo isiyo na riba ya asilimia 10 ambayo wanawake walio wengi wameshanufaika nayo. #jambofmtanzania #news #chaguamaishafresh