У нас вы можете посмотреть бесплатно CHANJO YA VIFARANGA WA KIENYEJI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Chanjo ya vifaranga wa kienyeji - Wafugaji wa kuku wa kienyeji Tanzania wamekua wakishindwa kuzingatia utaratibu wa chanjo ya vifaranga wa kienyeji Kwa kuwa na imani kwamba kuku wa kienyeji huwa hawapewi chanjo. Achana na imani potofu, kuku Wa kienyeji kama wanyama wengine wanahitaji chanjo. Video hii inaelezea chanjo za muhimu 1. Chanjo ya marks 2. Chanjo ya mdondo /Newcastle 3. Chanjo ya gumboro 4. Chanjo ya ndui PLAYLIST YA VIDEO ZETU _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji Bofya link kutazama video https://goo.gl/2Wkyhc Magonjwa ya Kuku na tiba zake Bofya link kutazama video https://goo.gl/hvfVcg Uleaji wa vifaranga vya kuku Kwa Kutumia Brooder bofya kutazama https://goo.gl/xSTCfX Instagram www.instagram.com/Changamkiafursatv What's spp +255752209073 #chanjoyavifarangawakirnyeji #vifarangavyakuku #changamkiafursa