У нас вы можете посмотреть бесплатно Majeruhi wa ajali ya basi kugonga treni alivyomwambia dereva apunguze mwendo kabla ya ajali kutokea или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Majeruhi wa ajali ya basi la Kampuni ya Allys, Siriako Kaheza lililogonga kichwa cha treni wilayani Manyoni mkoani Singida, amesimulia safari yao ilivyokuwa. wWakati akisimulia Kaheza leo Ijumaa, Desemba Mosi, 2023 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa alikolazwa akipatiwa matibabu amesema dereva wa basi alililopanda alikuwa akiendesha mwendokasi na alimtaka apunguze mwendo kabla ya kupata ajali. Ajali hiyo ilitokea alfajiri Novemba 29,2023 wakati basi hilo lililokuwa likitokea Dar es Salaam kugonga kichwa cha treni katika makutano ya barabara na reli wilayani humo. Watu 13 walifariki dunia katika ajali hiyo huku 32 wakijeruhiwa na kulazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida na wengine watatu kupewa rufaa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa.