У нас вы можете посмотреть бесплатно TUNDA MAN - Neila Ilinitambulisha Kwenye Bongo Fleva | Ilibidi Nifanye na Profesa Jay - Part 2 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Msanii Khalid Ramadhan Tunda anaendelea kutoa visa na mikasa kwenye safari yake ya muziki na maisha. Leo amezungumzia maisha yake ya shule na jinsi alivyokuwa mwanafunzi bora kwenye masomo ya Sayansi na jinsi alivyokuwa mtukutu shule. Ameelezea kutoa ngoma yake ya kwanza kabisa iliyomtambulisha, na pia kusimulia juu ya wale waliofanikisha safari ya muziki mpaka sasa. Kuna vingi vya kufurahisha kwenye mazungumzo haya...fuatilia... #tundaman #tiptop #bongofleva #bongoproject Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake. -------------------- WEBSITE -------------------- bongoproject.org -------------------- SOCIAL MEDIA -------------------- Instagram: / bongo_project Facebook: / bongo-project-102566415873260 -------------------- CONTACT -------------------- Email: info@bongoproject.org