У нас вы можете посмотреть бесплатно NINAYAWEZA MAMBO YOTE{NIGUSE BWANA EPISODE 02 }-Official Video или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kwaya ya Mtakatifu Joseph Mfanyakazi kutoka Parokia ya Mtakatifu Augustino -Mwisenge -Musoma wanakukaribisha kusikiliza na kutazama wimbo wa NAYAWEZA MAMBO YOTE ikiwa ni mwendelezo wa NIGUSE BWANA sehemu ya pili.Wimbo huu umetungwa na Eng.P.F.Dady na upo katika album mpya iitwayo - TANGAZA SIFA ZA BWANA -ambayo itatoka hivi karibuni. Kama ulipata nafasi ya kusikiliza na kutazama wimbo wa Niguse Bwana basi huu ni mwendelezo wa hadithi hiyo ambayo itaendelea hadi sehemu ya tano{NIGUSE BWANA EPISODE 05} na baada ya hapo ndipo itatoka official Film inayounganisha episode zote tano.Tunamshukuru sana Br.Michael Rutta sg kwa kufanya English Subtitles katika wimbo huu Get more videos from DADY Productions WASTAHILI KUSIFIWA • WASTAHILI KUSIFIWA_Offical Music Video_Fro... EE BWANA UTEGE SIKIO LAKO • Видео NIGUSE BWANA(Episode 01) • THE MAVOs - NIGUSE BWANA (OFFICIAL MV) | D... Kazi hii imerekodiwa katika studio za DADY PRODUCTIONS _Sound Engineer: Dady Rutta _Video Shot & Directed By Dady Rutta Contact DADY Productions for booking [email protected] +255 745 260 131/+255 715 068 534 #dadyproductions #kwayakatoliki #kwayampya2022