У нас вы можете посмотреть бесплатно JuaCali - Mwoto Sana (Official Video) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Artist: JuaCali Song Title: Mwoto Sana Audio Produced By: Babz On The Track Video Directed By: Johnson Kyalo MWOTO SANA LYRICS. Verse 1 Hii ni ya wale wote waliDoubt tukianza Miaka kumi zimepita na bado tuko hapa Niliambiwa kitambo sana watakupenda Wakuchukie halafu wakupende tena Hii ndio kitu siupitia kwa hii biashara Biashara ngumu biashara noma sana Lakini tunafanya hii maneno ka mavijana Na hii ni ingine Mwoto sana Chorus : (Calif records) Scratches(Records) Mwoto sana Scratches(Babz on the Track oh!!!) Hii ni ingine Mwoto sana Scratches(JuaCali….Cali) Mwoto sana Scratches(Babz on the Track oh!!!) Hii ni ingine…….. Verse 2 Ah! Hii ni ya ma fans wamekua na sisi mpaka wa leo Na wale wameongezeka leo Imekua inatubamba mumekua hii time yote Na mko wengi mumekua wapi nyi wote Pewa kitu sahau shida za maisha Kitu inakustress unaiwachilia Wacha ikurarukie vibaya sana Na hii ingine Mwoto sana Chorus : (Calif records) Scratches(Records) Mwoto sana Scratches(Babz on the Track oh!!!) Hii ni ingine Mwoto sana Scratches(JuaCali….Cali) Mwoto sana Scratches(Babz on the Track oh!!!) Hii ni ingine Mwoto sana Verse 3 Niko juu ya timboots jeans Tshirt Cologne kwa mwili imeitika Weekend imefika lazima leo kadunda Napigia Alpha anakuja kunichukua Na watoto wanne wawili wangu wawili wake Roundi hii nikutimbua mpaka che Dj anaachilia hii ngoma ajab sana Akiambia watu hii ni Mwoto sana Chorus : (Calif records) Scratches(Records) Mwoto sana Scratches(Babz on the Track oh!!!) Hii ni ingine Mwoto sana Scratches(JuaCali….Cali) Mwoto sana Scratches(Babz on the Track oh!!!) Hii ni ingine……..*2 #JuaCali