У нас вы можете посмотреть бесплатно ZOEZI LA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA LAANZA TANGANYIKA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi ametoa wito kwa Wananchi wote wenye sifa za kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura wilayani humo, kujitokeza katika vituo vya kuandikishia ili ifikapo tarehe ya uchaguzi wawe na sifa ya kupiga kura na kuchagua viongozi wanaowataka. Wito huo ameutoa aliposhiriki zoezi la kuboresha taarifa zake katika daftari la kudumu la wapiga kura, katika kituo cha Zahanati ya Mpanda ndogo. Afisa Mwandikishaji wa kituo hicho, Lucy Masawe amesema mwitikio wa wananchi kujitokeza unaridhisha tokea zoezi hilo lipoanza huku akiwakumbusha wananchi kufika na namba za NIDA au hata wasio na namba kwenda na majina kamili pindi wanapokwenda kuhusisha au kujiandikisha kwenye kituo cha kujiandikisha wapiga Kura. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09