У нас вы можете посмотреть бесплатно SHEHE KIPOZEO Alivyowavunja Mbavu Watu или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
SHEKHE KIPOZEO Alivyowavunja Mbavu Watu Kiongozi wa Dini Sheikh Kipozeo ameungana na wakazi wa Jiji la Dar es Salaam kushiriki Futari ambayo imeandalia na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Mkonda katika eneo la Mlimani City jijini Dar es Salaam. Akizungumza na wakazi wa jiji la Dar walioalikwa katika futari hiyo Sheikh Kipozeo amesema kuwa tendo la kufungu katika kipindi cha mwezi Mtukufu wa Ramadhani humfanya Mungu kumsamehe mwanadamu dhambi zake zote zilizotangulia. "Madhambi tunayo mengi tena wengine wadogodogo tu wana madhambi kuliko watu wazima yangekuwa yanaonekana tungekimbiana," alisema Sheikh Kipozeo Hata hivyo Sheikh huyo ametoa mawaidha kwa wanandoa ambao hawafahamu nini maana ya Ndoa mpaka wanafikia hatua ya kufanyiana ukatili katika ndoa. nstal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1