У нас вы можете посмотреть бесплатно PAULINA - JELA YA MAPENZI sw 1 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kama mapenzi ni kosa, basi dunia imejaa wafungwa wasiohesabika. Wimbo huu unamhusu Abuu, kijana aliyeonja jela kwa kosa la kupenda. Wimbo huu ni unatokana na simulizi ya kweli ya mapenzi, mapenzi yalio hujumiwa na nguvu ya pesa, mamlaka na hofu ya jamii. Ni hadithi ya kijana hasiye na kitu, anayesimama imara mbele ya dhoruba ya maisha, akiamini kuwa thamani ya binadamu hupimwa kwa moyo wake, si kwa ukubwa wa mfuko wake. Kwenye wimbo hizi (Nne, mbili zenye mchanganyiko wa lugha ya Kiingereza na Kiswahili) nyimbo zinaelezea mapenzi yanakuwa ni kosa kama huna kitu, ukweli unacheleweshwa, na haki inauzwa lakini hatimaye haki inashinda. Wimbo huu umejengwa katika mazingira halisi ya jiji la Dar es Salaam, ikivuta pumzi za mitaa ya Kariakoo na Kisutu, huku ikibeba tafakuri nzito za maisha ya kila siku. Mashairi na Mpangilio wa Muziki: 99graphix Vyombo na Mirindimo: 99graphix Please: Subscribe- Like - Comment - Share. --- #Abululufajm, #99graphix, #Paulina, #Jela, #Mapenzi, #Kisutu, #Kariakoo, #Lusaka, #Zambia, #Hotel #Pamodzi, #Tanzania, #Daressalaam, #bongoflavainstrumentalbeats #swahili, #Bongoland, #Mombasa, #Bongoflava, #Kenya, #uganda, #EastAfrica, #AfrikaMashariki, #DRC, #Burundi, #Mapenzi, #Ndoa, #Nampenda, #Congo, #Goma, #DRC, #Binti, #Zinjibaar, #zanzibar