У нас вы можете посмотреть бесплатно WAZIRI MKENDA AZINDUA MUONGOZO WA UTOAJI MIKOPO WANAFUNZI WA 'DIPLOMA', ATOA MAAGIZO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#ikulumawasiliano #ikuluzanzibar #ccm #samiasuluhuhassan #habarimaelezo #ktnnews #wizarayahabari #wizarayakilimo #wizarayaafya #wizarayaulinzi SERIKALI kupitia Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini (HESLB) imetenga Sh bilioni 48 kwaajili ya kuwakopesha wanafunzi 8,000 watakaodahiliwa kusoma Stashahada (diploma) katika fani za kipaumbele kwa mwaka wa masomo 2023/24. Hayo yameelezwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda wakati wa Uzinduzi wa 'Mwongozo wa Utoaji Mikopo ya Elimu kwa Wanafunzi wa Stashahada' leo Oktoba 04, 2023 katika hafla iliyofanyika katika Ofisi ndogo za HESLB, jijini Dar es Salaam Dar es Salaam, na kueleza kuwa ambapo amesema uamuzi huo umefikiwa kufuatia marekebisho ya HESLB ya mwaka 2017. Imeandaliwa na Frank Buliro na Ismaily Kawambwa Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09