У нас вы можете посмотреть бесплатно MIKAKATI YASUKWA MAPINDUZI YA KILIMO TANGA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
TANGA: MAOFISA Ugani mkoani Tanga wametakiwa kuongeza juhudi katika kuwaelimisha wakulima juu ya kilimo chenye tija ili kuongeza uzalishaji wa mazao bora yatakayoshindana kwenye mfumo wa stakabadhi ghalani. Rai hiyo imetolewa na Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga, Japhet Rimeo, wakati wa ufunguzi wa mafunzo maalum kwa maofisa hao yaliyolenga kuwajengea uwezo wa kusimamia wakulima kitaalamu na kibiashara. Akizungumza katika mafunzo hayo, Dk Rimeo alisisitiza umuhimu wa maofisa ugani kuwa karibu na wakulima, kuwapa elimu sahihi ya mbinu bora za kilimo na kuwahamasisha kulima kwa tija ili kuongeza kipato chao. Kwa upande wake, Mwakilishi wa COPRA Kanda ya Kaskazini alieleza kuwa mpango wa usambazaji wa mbegu bora umeanza kuzaa matunda kwa kuongeza uzalishaji na ubora wa mazao. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09