У нас вы можете посмотреть бесплатно BREAKING NEWS: Simbachawene Avunja Ukimya Baada ya Kufutwa Uwaziri или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
BREAKING NEWS: Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amevunja ukimya wake baada ya kuondolewa kwenye Baraza la Mawaziri na Rais Samia Suluhu Hassan. Kauli yake imeibua mjadala mkubwa mitandaoni na ndani ya duru za kisiasa nchini Tanzania. Wengi wanajadili maana ya ujumbe wake na mustakabali wa siasa za CCM. Katika video hii, tunakuletea kwa kina kilichosemwa, athari zake na tafsiri mbalimbali za wachambuzi wa siasa. Tazama video mpaka mwisho upate undani wa sakata hili. 👍 Like 🔔 Subscribe Bunge Siasa TV 💬 Toa maoni yako #BreakingNews #Simbachawene #SamiaSuluhu #SiasaZaTanzania #HabariZaLeo #CCM #BungeSiasaTV #Ikulu #NewsTanzania