У нас вы можете посмотреть бесплатно Dizasta Vina - Nobody is safe 5 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Official lyric video of Dizasta Vina perfoming Nobody is safe 5 Prod by Ringle Beatz Stream/Download NIS 5 Mdundo - https://mdundo.com/song/2814662 Audiomack - https://audiomack.com/dizastavina/son... Boomplay - https://www.boomplay.com/share/music/... Apple music - / nobody-is-safe-5-single Lyrics So hii kalamu ikisimama na kuanza kutupa wino Watoto utasikia "mom look Superhero". Sivunji bars na-Storm out, Like I'm the one Who let the dogs out, Scofield navuka wigo Alafu na-fly far (Shuu) Aftermath natoa salamu kwa survivors Ukoo wa mbuzi unawapa high five, niko busy na mkwanja Na ndio maana sionekani viwanja ka' vile sikai Dar Game kazi siku hizi mama anafahamu Ala tamu inaongea alama, Binadamu Niko salama natoa salamu bila damu Kwa kipaza nasambaza karama ya hii kalamu Sikutaka kutoka niliingia chaka Nikatulia nikaisoma dunia utafikiria NASA Nikawa fear factor, nikashika njia Wabia wakanihofia kama wanavyoihofia Cancer Hii ni Beyond your high definition Naona mbali utadhania tai, hii vision Ni ya kutafuta material sikai ili nilishwe Moves kama Spy kwenye mission Ni**er Badili spana hii ni Volvo Walifunga mageti kwa maana ligi ndogo Leta paper kubwa mchizi nachana si kitoto Mi ni nyoko waulize Wagaga-gigi-koko Waliokuwa hawakomi wanakoma Walikuwa vipofu hawakuona navyochoma Homa, Nikitua kwenye mwili huwa ni joto Vyuoni ka' Dodoma na Sua wananisoma Na huu ni wimbo kwa ma-Hustler Walio-focus kwa maana flow ni za kimasta Na-flip topic utadhani Flip Mode Busta Rhymes utahisi Bro Langa Eyo eyo kwa Insha na methali Nawazika ka Ujamaa ulivyozikwa na Ubepari Nishachoka na uongo so nafoka mpaka mtondogoo Kwa world class Protocal, Internationally Sina big team, nina big pen brother Niki-grip unaweza sema Slim Shady kaja Achana na kids hawa sixth grade rappers Kisha pick me Dizasta mi' ni 50 shades darker Hizi tenzi ni pure, Niko real toka enzi nakua Nili-rap kabla mapenzi sijajua Kwenye game wanavyoenzi majuha Wana track mbovu na wanafanya Media tours Now I'm mad (really mad), Sitaki hoji what next Ni-focus kwenye page za kishost na kuvex? Nah Sipigi mbonji niko resi kama Race car Si-dodge dodge Wala siweki Emoji kwenye text Jina Vina na kazi ni mistari Maisha yangu hadithi jamaa hii ndo' dibaji Nawakilisha machizi ambao vichwa ni madini Sifanyi masaji nafanya mauaji ya kimbali Ona nawazidi nguvu wanahisi labda JUJU kumbe ni skills fulani new new Iwe Kung Fu ama Wushu japo sio New school Bado logo ni classic kama FUBU Panorama kitambo bado sugu Ndugu watachanga michango ukijitusu Nitakushangaa ukija bila plan kwenye Battle Maana unahitaji kiwango na mipango kunimudu NImeshiba contents cheki Youtube Nina material priceless kwenye fuvu Japo wanaziba ili nisi-trend kama Dudu Sizifuati trend, trend na-create kama Mungu Niko shega Bro Genius ni Understatement half Man half God Paradox Niite Vina just for lack of the better words Literally, yet metaphorically undebatable Huwezi 'amini mambo ambayo ubongo una-solve I;ve been tested couple of times madokta wanahofu Linapotajwa jina langu marapa wanatokwa na povu Mi ni Ndovu walisha-approve Ngosha na Prof Natia chata kwenye list ya ma-Veteran Tunaopamba beat kama binti mwenye pete yaani Chagua jumba la sanaa uchukue kiti uketi ndani Au uendelee ku-search role model wako anam-date nani Top tiers wako hawafai kwenye hii selection Kutafsiri inahitaji classes na deep sessions Dunia ilianzaje? Ukifa unaenda wapi? Sijui yai sijui kuku you know, that kind of big Questions I'm a street Legend haisumbui sana Kutambua maana sideki ka' simjui Mama Kamuulizeni Mr. Kuvichaka atawaambia Nishakula vichaka utadhania Mbuzi kaja Najua nitakuwa Star that's not my major dream Stardom is for little kids legacy's the better thing Nataka kuwa Rapman next to Ringle Beatz Spiderman And Panorama is the Avenger team Wasakatonge tuko fiti hatulei mboga Na size ya bendi ni big everyday ngoma Bado mistari ni mingi haienei folder Dizasta Vina si Michael B ni Michael A Jordan Kipindi sina deal street nishatukanwa nika-chill Nikawa focus inaitwa Stamala Mbishi nang'ang'ana siishi kwa mama Popote yalipo mamkwanja ya kumwaga naishi mkabara nachekecha mamkwanja baada ya kutwanga na Kupepeta hasira ka' ndo' naanza kumbe star Nimefika kwa movie hii... Nina fan base bila Mchomvu na B Twangala Kuna wana walijaribu kuwa mimi yoo Yaani kuwa Off the Stream and yet clinical Walicopy flows instruments na video. Walinikuta wakaja wakaondoka ka' Menstrual Period Mi' sio Budha Budah I look friendly ndio maana marapa wanakujakuja Wananizoea kiboya naishia kuwafunza Lugha Ningewafundisha kuongea na wake zao ila nachunga muda Label zinawapiga mitungo hatuongei Verse lundo mfuko bei Niliwaheshimu sana wadau, mkaja mkasema hailipi Mkaendekeza kiki alafu mkaja mkampa tuzo Ney Mashabiki nao wanadisi kwanini sionekani Wakati kila zinapotajwa list huwa sikosekani.... Read more https://genius.com/Dizasta-vina-nobod...