У нас вы можете посмотреть бесплатно Sabaya awasili ibada ya shukrani Arusha или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya akiwasili kiatika kanisa la Ebenezer Reatoration Ministry for all Nations, lililopo Moshono mkoani Arusha ambapo leo Jumapili Februari 4, 2024 anatarajia kutoa shukrani kanisani hapo. Aprili 5, 2023 Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, ilimuachia huru kwa masharti ya kutofanya kosa la jinai kwa kipindi cha mwaka mmoja na kulipa fidia ya Sh5 milioni aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya baada ya kukiri kosa la kula njama na kuzuia utekelezaji wa haki na kosa la pili kudhania madaraka ambayo si yake. Hukumu hiyo ilitolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, Salome Mshasha baada ya kumtia hatiani Sabaya aliyekiri kutenda makosa hayo. Vilevile, Sabaya aliachiwa huru kwa kesi nyingine mbili za matumizi mabaya ya madaraka na uhujumu uchumi, zilizoendeshwa jijini Arusha.