У нас вы можете посмотреть бесплатно #BREAKING или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#BREAKING: BASI la NEW FORCE LAPATA AJALI MBAYA, LAUA na KUJERUHI WATU NJOMBE... Taarifa zilizotufikia GLOBAL TV kwenye chumba chetu cha habari zinaeleza kuwa, kumetokea ajali mbaya ya basi la Kampuni ya New Force ambalo inasemekana limedondoka eneo la Igando katikati ya Wang’ing’ombe na Ilembula mkoani Njombe. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi na kwamba hakuna anayejua kuhusu vifo na majeruhi. Basi hilo linafanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Sumbawanga na linadaiwa kuanguka katika kijiji hicho cha Igando wilaya ya Wang’ing'ombe Barabara Kuu ya Tanzania na Zambia (TANZAM) na kudaiwa kusababisha vifo vya watu ambao bado idadi yao haijafahamika. Basi hilo lina namba za usajili T 173 DZU na kwa taarifa kamili endelea kufuatilia updates ambapo tutakuletea taarifa kamili kutoka kwa mamlaka husika… ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx