У нас вы можете посмотреть бесплатно RC SIMIYU AKAGUA MAENDELEO UJENZI WA SOKO KUU LA KISASA LA BILIONI 26 BARIADI, или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
RC SIMIYU AKAGUA MAENDELEO UJENZI WA SOKO KUU LA KISASA LA BILIONI 26 BARIADI, ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MRADI,AHIMIZA UKAMILISHWAJI MRADI HUO KWA WAKATI. Bariadi, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe.Anamringi Macha leo 30 Septemba 2025 amekagua ujenzi wa Mradi wa ujenzi wa Soko kuu la kisasa la Halmashauri ya mji wa Bariadi ikiwa ni sehemu ya utekelezaji mradi wa uendelezaji wa miji 45 Nchini. Mradi huo unatekelezwa na Mkandarasi Kampuni ya Sihotec ambao wanajenga Soko kuu hilo la kisasa ,Ujenzi wa barabara za kiwango cha lami zenye urefu wa Kilomita 8.6 ,uwekaji wa taa za barabarani na ujenzi wa jengo la kisasa la maabara ya upimaji wa vifaa vya ujenzi ambapo kiasi cha shilingi Bilioni 26 zitatumika katika mradi huo. Mkuu wa Mkoa wa simiyu Anamringi Macha mara baada ya kukagua mradi huo ameridhishwa na kasi ya ujenzi huo na kuwataka kukamilisha kama walivyoahidi Novemba ,2026. 01 Oktoba 2025.