У нас вы можете посмотреть бесплатно WAZIRI MKUU AKIKAGUA KIWANDA CHA VIFUNGASHIO TANGA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametembelea kiwanda cha kutengeneza vifungashio cha Yogi Poly Pack na kusisitiza umuhimu wa kuendelea kuimarisha uzalishaji wa ndani ili kukuza uchumi wa Taifa. Akizungumza mara baada ya kukagua shughuli za uzalishaji kiwandani hapo, Waziri Mkuu amesema hakuna sababu ya kuagiza kutoka nje bidhaa ambazo zinazalishwa kwa ubora hapa nchini. Amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji wa ndani ili viwanda viweze kuongeza uzalishaji na ajira kwa Watanzania. #tanga_tanzania