У нас вы можете посмотреть бесплатно BIRTHDAY Ya Mama DANGOTE Na TANASHA, MLIMANI CITY или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
BIRTHDAY Ya Mama DANGOTE Na TANASHA, MLIMANI CITY Ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu sana ndiyo imewadia leo Julai 07, ambapo Mama staa kuliko wote Bongo aliyemzaa Mwanamuziki Diamond Platnumz, Bi Sandra maarufu kama Mama Dangote na Mkwewe ambaye ni mpenzi wa mwanae Tanasha Donna, wanaadhimisha siku yao ya kuzaliwa yaani 'Birthday'... Katika kuhakikisha Birthday ya wawili hao inakwenda vizuri na wanaisheherekea kwa mbwembwe zote, Mwanamuziki Diamond, amemuandalia mama yake na mpenzi wake Bonge moja la Party wenyewe wanaliita '707 GATSBY' Katika ukumbi wa Mlimani City jijini DAR..... Global TV imealikwa Mlimani City kwenye party hiyo ya kukata na shoka na itakuletea mwanzo mwisho kila kinachoendelea ukumbini hapo... #707GATSBY #BIRTHDAYyaMamaDangoteNaTanasha https://www.youtube.com/playlist?list... https://www.youtube.com/playlist?list... https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho