У нас вы можете посмотреть бесплатно Vijana mjini Nanyuki wazidisha zoezi la uhamasishaji dhidi ya virusi vya ukimwi или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Zoezi la uhamasishaji na upimaji wa virusi vya HIV limefanyika katika mji wa Nanyuki, ambapo vijana wamehimizwa kujitokeza kwa hiari ili kujua hali zao. Wakati wa shughuli hiyo, waandalizi wameonyesha wasiwasi kufuatia hatua ya wafadhili wa kimataifa kuanza kujiondoa katika ufadhili wa mipango ya HIV na afya ya uzazi. Waliohudhuria wamepongeza elimu waliyopata kuhusu kinga dhidi ya magonjwa ya zinaa na umuhimu wa kujikinga, wakisisitiza kuwa sasa ni wakati wa jamii kukubali ukweli na kuwajibika kwa afya zao.