У нас вы можете посмотреть бесплатно Ukiweza Kuvuka Mstari Huu, Mafanikio Makubwa Yanakuwa Uhakika Kwako... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Watu wengi wanaanza safari ya mafanikio kwa nguvu kubwa… lakini wachache sana wanafika mwisho. Kwa nini? Kwa sababu wengi huacha pale tu mambo yanapoanza kuuma. 💔 Ukweli ambao wengi hawataki kuusikia ni huu: mafanikio makubwa yako upande wa pili wa maumivu ambayo watu wengi wanayakimbia kila siku. ⚡ Kama hujawahi kujisukuma mpaka ukachoka kabisa, ukaumia, ukaanza kujiuliza kama ina maana kuendelea… basi bado hujaingia kwenye mchezo halisi wa mafanikio. 🚀 Tofauti ya watu wanaoshinda na wengine si bahati—ni uwezo wa kuvumilia pale ambapo wengine wanakata tamaa. 🔥 Barua hii itakufungua macho, ikutikise, na kukusukuma kuvuka mipaka yako. 👉 Je, uko tayari kwenda mpaka inapouma… na bado ukaendelea? Soma sasa. Fungua hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#... Karibu. 0756694090.