У нас вы можете посмотреть бесплатно Watoto wa mama n'tilie riwaya,uchambuzi.(link za vipindi vingine zipo kwenye description hapo chini) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
katika tamthiliya hii,ya WATOTO WA MAMA NTILIE mwandishi anaiangalia jamii kwa jicho la pekee ,kwani anaichora jamii kifasihi na kuona dhahiri kuna mvutano mkubwa kati ya vijana na jamii.Pindi watoto wanapoingia kwenye hatua ya kubarehe hukutana na mabadiliko mengi sana ya kimwili na kiakili(kisaikolojia).Mwandishi anaionyesha jamii kuwa itambue kuwa kuna malezi ya nyumbani,shuleni lakini kuna malezi mengine ya mazingira (yaani jamii nje ya shuleni na nyumbani).Mwandishi anaonyesha kabisa kuwa wazazi wengi ni wazito kuongea na watoto wao pindi wanapopevuka(barehe) ambapo binti au mvulana hutaka kujaribu mambo mengi sana hususani mahusiano ya kimapenzi. WATOTO WA MAMA NTILIE -Tunamwona Suzi anakutwa na vidonge vya kuzuia mimba,ukijiuliza je? ni mama Suzi kampa vidonge? Jibu ni hapana ,kwani mama Suzi nae anahamaki na kushtuka kuona hali hiyo. Mtaani nao akina Chausiku wanaonekana ni changamoto tupu zimewakuta kuhusu mahusiano.Jamii hii hii inayoonekana hapa haijatengamaa sawa ndio maana magonjwa kama Ukimwi haviishi leo wala kesho. Ndugu na mpenzi wa JIFUNZE LEO hivyo nakushauri ukinunue kitabu hiki au nenda maktaba yoyote ukisome upate kuelewa zaidi. Literature is a work of art • Why literature is said to be a work of art? Causes of mfecane war • MFECANE WAR.(link za vipindi vingine zipo... Biology practical for m four • BIOLOGY -PRACTICAL-CLASSFICATION.(Link zin... Passed like a shadow;position of woman in society • PASSED LIKE A SHADOW-POSITION OF WOMEN IN ... Digetion system-video • HUMAN DIGESTION SYSREM.(VIDEO-DEMO); Mmeng... Urutubishaji wa yai la kike • HUMAN DIGESTION SYSREM.(VIDEO-DEMO); Mmeng... How heart beat? • JINSI MOYO UNAVYODUNDA MWILINI MWA BINADAM... Black hermit analysis • JINSI MOYO UNAVYODUNDA MWILINI MWA BINADAM... Black hermit analysisi 2 • BLACK HERMIT;Tradition,beliefs and customs... Jinsi ya kujibu mtiuhani • KUFAURU MTIHANI JIPANGE HIVI. Maelezo ya format ya NECTA Geography • KUFAURU MTIHANI JIPANGE HIVI. The lion and jewel Analysisi • THE LION AND JEWEL--SIMPLE THEMES ANALYSIS... Word formation • WORD FORMATION. by madam Rehema sanga(chec... Ngoswe penzi kitovu cha uzembe • NGOSWE PENZI KITOVU CHA UZEMBE-Nafasi ya m... Colonial rule • COLONIAL RULE IN AFRICA.(check link in di... Tamthiliya ya kilio chetu-uchambuzi • Tamthiliya ya kilio chetu.Uchambuzi wa mig... Tamthiliya ya kilio chetu-uchambuzi sehemu ya 2 • kilio chetu(tamthiliya) uchambuzi migogoro... Kuenea na kukua kwa lugha ya Kiswahili • KISWAHILI: MCHANGO WA WAINGEREZA KUKUZA KI... The lion and Jewel • THE LION AND JEWEL: FORM ANALYSIS.(chec... Sarufi ya Kiswahili • SARUFI YA KISWAHILI(kupata vipindi vingin... This time tomorrow Analysis n • This time tomorrow;Simple analysis.( check... Mashairi ya chekacheka • MASHAIRI YA CHEKACHEKAUCHAMBUZI(kupata uch... Three suitors one husband • THREE SUITORS ONE HUSBAND (BOOK SUMMARY )... Wasakatonge • Wasakatonge; (uchambuzi).(angalia link kwe... Malenga wapya • DIWANI YA MALENGA WAPYA(UCHAMBUZI)(check l... The novel :Three suitors one husband • THREE SUITORS ONE HUSBAND (ANALYSIS) BY ... This time tomorrow-play (igizo-video) • This time tomorrow (video) analysis .( Li... Taka dini -uchambuzi • TAKA DINI part 2(link za vipindi vingi... Joka la mdimu-sehemu 1 • JOKA LA MDIMU PART 1 UHAKIKI.(link za vip... Joka la mdimu-2 • Joka la mdimu:sehemu 1.uchambuzi.(link za ... Taka dini part sehemu ya 1 • TAKA DINI PART 1( OFFICIAL) UHAKIKI(KARIBU... Kivuli kinaishi • Kivuli kinaishi ;Part 2; uchambuzi.(link z... Biology practical-osimosis • Biology practical-OSMOSIS(Link za vipindi ... Tamthiliya ya orodha-uchambuzi • Orodha ~tamthiliya~uchambuzi ~Part 1.(What... Tamthiliya ya kilio chetu • Kilio chetu.sehemu ya 2.uhakiki(link za vi... Tamthiliya ya kilio chetu-uchambuzi • TAMTHILIYA YA KILIO CHETU(UCHAMBUZI).(link... Tamthiuliya ya Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe • NGOSWE PENZI KITOVU CHA UZEMBE:UCHAMBUZI-B... Riwaya ya Watoto wa mama ntilie-uchambuzi • Watoto wa mama n'tilie riwaya,uchambuzi.(l... SUBSCRIBE UPATE VIDEO ZINGINE