У нас вы можете посмотреть бесплатно WANANCHI WA JIMBO LA MLALO WAOMBA KULETEWA DAKTARI KATIKA ZAHANATI HIO YA SUNGA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jimbo lamlalo: baadhi ya wananchi wa kata ya sunga jimbo la mlalo wilaya ya lushoto mkoani wa tanga. Hio ilitokea wakati wa ziara ya mwenyekiti wa ccm wilaya ya lushoto mhe, ally kasim dafa pamoja sectariet yake ya ccm wilaya ya lushoto pamoja na mkurugenz mtendaji wa halmashauri ya lushoto pamoja na wataalam wa sekta mbalimbali zikiwemo tanesco na tarura. Kauli hio aliitoa afsa wajeshi mstaafu mzee shekivuli, kwakumuomba mkurugenzi mtendaji pamoja na mganga mkuu wa wilaya ya lushoto kuwaletea daktari katika zahanati hio ya sunga ambayo mtumishi alikaa hapo takribani miaka 20 kiti ambacho sio sahihi kwa mtumishi wa umma. Pia alisisitiza kwakusema mtumishi wa serikali hatakiwi akae sehem moja mpaka wananchi kumzoea. Na alitoa kilio cha wanawake kuzalishwa kwa bei ya shilingi 30,000 bila risiti yoyote, na wananchi kupimwa vvu kwa bei ya shilingi 10,000 kitu ambacho sio sahihi maana huduma ya kupima vvu inatolewa bure, na wakina mama kuzalishwa bure. Pia mkurugenzi alipokea ombi hilo na pia alidai atalifanyia kazi Full video click link in bio #lushoto #tanga #tanzania #lushotoplus