У нас вы можете посмотреть бесплатно MISA TAKATIFU DOMINIKA YA KWANZA YA MAJILIO KTK KANISA KUU MT.ANTHONY WA PADUA JIMBO KATOLIKI TANGA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mpendwa mtazamaji wetu wa ST. ANTHONY'S CATHEDRAL TANGA karibu katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika ya kwanza ya Majilio kutoka Kanisa Kuu la Mtakatifu Anthony wa Padua - Chumbageni, Jimbo Katoliki Tanga tarehe 30.11.2025 kuanzia saa kumi na mbili na nusu Asubuhi (12:30). Sadaka ya Misa Takatifu inatolewa na Mheshimiwa Padre Dkt. Sylvester Nitunga Mkufunzi na Mlezi wa Seminari Kuu ya Mtakatifu Paul Kipalapala - Tabora Jiunge nasi kwa KUSUBSCRIBE Channel yetu ya St. Anthony's Cathedral Tanga ili uweze kupata Taarifa na Matukio Mbalimbali MUNGU AKUBARIKI SANA. &&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&& Karibu Mpendwa katika kitengo hiki cha habari kinachomilikiwa na Kanisa Kuu la Mt. Anthony wa Padua Chumbageni Tanga. Pia unaweza kutufuatilia katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM:- st.anthony'scathedraltanga FACEBOOK:-st.anthony'scathedraltanga TIKTOK:-st.anthony'scathedraltanga Mawasliano:- St. Anthony's Cathedral Tanga Media S.L. P 84 Tanga, 0672 350 777 st.anthonymedia12@gmail.com