У нас вы можете посмотреть бесплатно BILAL BIN RABBAH ALIA NA AWALIZA WATU WA MADINA KWA KUPIGA ADHANA BAADA YA MTUME KUFA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
SOMA KISA HIKI✍️ USIACHE KIKUPITE Faham kisa cha bilal bin rabbah MTU huyu alihama mbali madina baada ya kufariki mtume Muhammad(S.A.W). alishindwa kuishi madina kwasababu mji ulimepelekee kuto kumsahau mtume hivyo basi akaaamua kuhama mbali na madina.baada ya muda kupita kidogo mtume S.A.W alimjia ndotoni bilali na kuongea nae hasa kwa kusudi la kumtaka arudi madina kwa lengo la kumdhuru na mengineyo.sasa baadaye akafunga safar na kuelekea madina.kwa ufupi tu ukakurubia wakati wa swala naye akapanda kwajili ya kupiga adhana ikapelekea kushangaa kwa watu wengi sana hata wengine waliwaza kuwa MTU amefufuka kwa kumsikia bilal akiadhini hatimaye aliadhini lakini alipofika kwny ash-hadu anna Muhammadan rasulullah alishindwa kuendelea kwasababu alikuwa akifika mahala hapo alikuwa akimuona mtume S.A.W Anatoka nyumban kwake na anatia udhu. kwa ufupi ni hayo nikuombe ndugu yangu kwani unapungukiwa nini uki subscribe channel yetu hii naomba sapoti yako wewe Ku subscribe channel hii naomba utoe mchango wako huo tu wa Ku subscribe RISALA Tv🤝🏿