У нас вы можете посмотреть бесплатно KWA NINI UNAOMBA SANA LAKINI HUMUONI MUNGU KATIKA MAISHA YAKO Part 1 - Innocent Morris или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KWA NINI UNAOMBA SANA LAKINI HUMUONI MUNGU KATIKA MAISHA YAKO Part 1 - Innocent Morris Katika somo hili nimefundisha vitu ambavyo vinafanya mtu asimuone Mungu akiwa halisi katika maisha yake. Na nimefundisha na namna ya kushughulika na hivyo vitu ili Mungu awe halisi kwako. Hakika hili somo ni la baraka sana. Ukipata muda chukua daftari lako na kalamu kaa chini sikiliza. Nina amini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, utapata kitu ambacho kitakusaidia kuvuka kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Hii ni sehemu ya kwanza, lakini tutaweka na sehemu ya pili ya somo hili siku ya jumamosi. Ubarikiwe sana. Contacts: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: / holyspiritconnect Facebook Link: / holyspiritconnect YouTube Link: / holyspiritconnect