У нас вы можете посмотреть бесплатно Wasiwasi waibuka kuhusu idadi ya watoto wanaozaliwa wakiwa na ugonjwa wa tawahudi yaani Autism. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ulimwengu unapoadhimisha siku ya tiba ya matatizo ya kihisia na kumbukizi, wasiwasi unaibuka kuhusu idadi ya watoto wanaozaliwa wakiwa na ugonjwa wa tawahudi yaani autism.wataalamu wanaamini kwamba muondoko huu unaweza kuhusishwa na mapuuza ya wazazi na ukosefu wa hamasa kuhusu dalili za maradhi haya. Ugonjwa huo unapogunduliwa mapema unawezatibiwa. Betty Jean, mama wa wavulana wanne waliozaliwa na autism, ameisihi serikali kuweka mipangilio mahsusi kwamba familia zilizo na watoto walio na maradhi haya zinapata huduma muhimu kwa gharama nafuu