У нас вы можете посмотреть бесплатно KASEKENYA ATOA MAELEKEZO UJENZI WA DARAJA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#ikulumawasiliano #ikuluzanzibar #ccm #samiasuluhuhassan #habarimaelezo #ktnnews #wizarayahabari #wizarayakilimo#tanzania Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya ametaka Daraja la Itembe mkoani Simiyu kukamilika kabla ya msimu wa mvua haujaanza. Mhandisi Kasekenya ametoa maelekezo hayo baada ya kukagua daraja hilo lenye urefu wa mita 150 ambalo linajengwa katika barabara ya Maswa-Meatu-Sibiti hadi Karatu, barabara inayounganisha kwa njia fupi mikoa ya Kanda ya ziwa na Kaskazini. Amesema kukamilika kwa daraja hilo kutaleta tija kwa sekta ya usafirishaji, uzalishaji na utalii kwa wakazi wa mikoa hiyo. " Kazi yenu ni nzuri mko asilimia 80 hakikisheni kasi yenu inaendana na ubora ili Serikali izidi kuwaamini na kuwapa miradi mingi wakandarasi wazawa", amesema Naibu Waziri Kasekenya. Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS),Mkoa wa Simiyu Mhandisi Boniface Mkumbo amesema daraja hilo linalojengwa na mkandarasi mzawa Roctronic Ltd pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa KM 2 litagharimu zaidi ya shilingi bilioni 9.4 litakapokamilika. Amesema katika kuhakikisha barabara hiyo inaimarika na kupitika wakati wote wa mwaka, maandalizi ya kujenga madaraja ya Chobe mita 100 na Lyusa mita 75 yako katika hatua za mwisho. Imeandaliwa na Zaituni Mkwama Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09