• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Je Vifaa gani huhitajika wakati wa Kujifungua?? | Maandalizi ya Kujifungua kwa Mjamzito!. скачать в хорошем качестве

Je Vifaa gani huhitajika wakati wa Kujifungua?? | Maandalizi ya Kujifungua kwa Mjamzito!. 4 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Je Vifaa gani huhitajika wakati wa Kujifungua?? | Maandalizi ya Kujifungua kwa Mjamzito!.
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Je Vifaa gani huhitajika wakati wa Kujifungua?? | Maandalizi ya Kujifungua kwa Mjamzito!. в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Je Vifaa gani huhitajika wakati wa Kujifungua?? | Maandalizi ya Kujifungua kwa Mjamzito!. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Je Vifaa gani huhitajika wakati wa Kujifungua?? | Maandalizi ya Kujifungua kwa Mjamzito!. в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Je Vifaa gani huhitajika wakati wa Kujifungua?? | Maandalizi ya Kujifungua kwa Mjamzito!.

Mjamzito anatakiwa kujiandaa Kisaikolojia, Kibaologia na Kiakili kipindi ambacho tayari Mimba yake imefikisha Miezi Tisa na muda wa kukaribia kujifungua. Endapo Mjamzito alihudhuria Kliniki ipasavyo na kupewa elimu muhimu inayo husiana na Ujauzito, Tahadhari zakuchukua kipindi Cha Ujauzito na Maandalizi maalum kabla na baada ya kujifungua. Humsaidia kujiandaa kikamilifu kwa ajili ya kujifungua na kumpokea Mtoto wake atakayezaliwa. Kwa bahati mbaya kuna baadhi ya akina Mama huwa hawajiandai kikamilifu wanapokaribia kujifungua, Jambo ambalo huonekana ni la Dharula na kupelekea changamoto mbalimbali siku ya kujifungua Mimba zao. Pamoja na kwamba Mjamzito anatakiwa kujiandaa kikamilifu kuhusiana na Masuala ya Kisaikolojia, Kibaologia na Kiakili. Mjamzito anatakiwa kujiandaa kikamilifu katika Masuala yafuatayo: 1. USAFIRI Mjamzito na familia yake inatakiwa kuhakikisha kwamba kutakuwa na uwezekano wa kupata usafiri muda wowote siku ambayo Uchungu utaanza kwa ajili ya kuwahi Hospitali au kituo Cha Afya. Endapo Mjamzito anaishi kijijini na sehemu zisizo na Usafiri wa haraka hususani wakati wa Usiku, Mjamzito anatakiwa kuwa karibu na Zahanati au kituo Cha Afya muda mfupi kabla ya tarehe ya matarajio ya kujifungua. 2. MSINDIKIZAJI. Mjamzito na Familia yake wanashauriwa kuwa na Mtu au Watu maalumu kwa ajili ya kumsindikiza wanapoelekea hospitali, Msaidizi huwa ni wamuhimu sana endapo itatokea dharula au Jambo lolote wakati Mjamzito akiwa katika safari kuelekea Kituo Cha Afya na nk. 3. MTU ATAKAYE BAKI NYUMBANI. Mjamzito na Familia yake wanatakiwa kuhakikisha kwamba kuna Mtu maalum atakaye bakia nyumbani, endapo Mume atamsindikiza Mjamzito, Anayebaki nyumbani hubaki kama Mlinzi na Mhudumu endapo kuna Watoto wadogo wamebaki nyumbani kipindi ambacho Mjamzito anaelekea hospitali. 4. VIFAA VYA KUJIFUNGULIA Mjamzito na Familia yake wanatakiwa kuhakikisha kwamba wanavifaa maalum kwa ajili ya kujifungulia wawapo hospitali. Vifaa hivyo ni Kama. I. Begi kubwa #1. Hutumika kwa ajili ya kuhifadhia Vifaa vingine tajwa hapo chini. II. Mpira wa kujifungulia au Karatasi ya Nailoni#1. Hutumika kutandika kwenye Kitanda Cha kujifungulia. III. Mpira wa kuvaa Mikononi #10. Hutumika na Wahudumu kwa ajili ya kuvaa Mikononi kipindi cha kupima njia ya Mlango wa Uzazi na kukuzalisha. VI. Kibanio cha Kitovu #2. Hutumika kuzuia utokwaji wa Damu au kufunga Kitovu Kipindi cha kutenganishwa kwa Mtoto na Kondo la Nyuma. V. Kiwembe cha Upasuaji #2. Hutumika kukatia Kitovu wakati wa kutenganishwa Mtoto na Kondo la Nyuma na kukatia Nyuzi wakati wa kushonwa endapo Mjamzito amechanika wakati wa Kujifungua. VI. Nguo aina za Khanga zilizotumika #4. Hutumika kwa ajili ya kumvisha Mtoto Mara baada ya kujifungua, hapa unatakiwa kuwa na Khanga zilizotumika siyo mpya. VII. Nguo aina za Vitenge zilizotumika#4. Hutumika kwa ajili ya Mjamzito kujifunika na kutandika juu ya mpira uliowekwa Kitandani. VIII. Malapa au Ndala #1 Hutumika kipindi ambacho Mjamzito atahitaji kwenda Bafu au Choonk kabla au baada ya kujifungua anapokwenda kuoga. IX. Dishi #1 Hutumika kuweka Nguo zilizo loa au uchafu mwingine unapokuwa Wodini. X. Sabuni na Mafuta ya Mjamzito. Hutumika endapo Mjamzito atahitaji kujisafisha Mwili wake. XI. Pamba kubwa #1 XII. Nyuzi za Upasuaji # 1 Hii siyo lazima kwa sababu hospitali inaweza ikatumia Uzi wake endapo bahati mbaya umechanika na baada ya huduma utatakiwa kulipia au kurudishia baada ya kutumia. XIII. Pedi kubwa za Mjamzito Hii siyo lazima unaweza kutumia Khanga laini kwa ajili ya kuzuia Damu zinazotoka Ukeni Mara baada ya kujifungua. XIV. Mpira wa Mkojo#1 na kibegi chake #1. Mpira wa Mkojo huwa silazima sana, japokuwa huweza kutumia kwa baadhi ya Wajawazito na wanjifungua kwa Upasuaji,kwa ajili ya kuhakikisha Kibofu cha Mkojo kinakuwa tupu. XIV. Vifaa vya Mtoto. Mfano; Mafuta ya Nazi kwa ajili ya kumpakaa Mtoto,Kofia, Soksi, Pampasi na Babsho kwa ajili ya kumfungia Mtoto awe katika mazingira ya Joto, Leso laini za kumfutia Mtoto wakati wa kumsafisha na nk. 5. FEDHA. Mjamzito na familia yake wanatakiwa kujiandaa kikamilifu kuhusiana na Fedha au Kiuchumi endapo itatokea dharula yoyote hata kama amejiandaa Kisaikolojia, Kibaologia, Kiakili na Vifaa kama ilivyotajwa hapo juu. MUHIMU: Kujifungua siyo jambo la kushtukiza au Dharula, endapo wewe ni Mjamzito hata kama ulipata Mimba kwa bahati mbaya au Bila kupanga, imetokea kwa bahati mbaya basi hakikisha unanunua kitu kimoja kimoja au kidogo kidogo mpaka kufikia miezi 9, unakuwa tayari na vifaa vyote. Uendapo hospitali bila kujipanga au bila Vifaa huwa ni kikwazo kikubwa kwa watoaji wa huduma za kiafya kwa sababu hutengeneza mazingira magumu ya kazi zao. #DrMwanyika #MamaAfya #MaandaliziYaKujifungua

Comments
  • Je Dalili ZA Mtoto Tumboni Kushuka Kwenye Nyonga Zipi?? | Dalili 11 ZA Mtoto Kushuka Kwa Mjamzito! 1 год назад
    Je Dalili ZA Mtoto Tumboni Kushuka Kwenye Nyonga Zipi?? | Dalili 11 ZA Mtoto Kushuka Kwa Mjamzito!
    Опубликовано: 1 год назад
  • VIFAA VYA KUJIFUNGUA KWA MAMA MJAMZITO | EQUIPMENTS OF BIRTHING 1 год назад
    VIFAA VYA KUJIFUNGUA KWA MAMA MJAMZITO | EQUIPMENTS OF BIRTHING
    Опубликовано: 1 год назад
  • Vyakula salama Kwa mwenye shida ya vidonda vya tumbo.🥭🫑🫛 1 год назад
    Vyakula salama Kwa mwenye shida ya vidonda vya tumbo.🥭🫑🫛
    Опубликовано: 1 год назад
  • Zifahamu athari za kumficha mtoto wa nje ya ndoa na jinsi ya kuziepuka 2 года назад
    Zifahamu athari za kumficha mtoto wa nje ya ndoa na jinsi ya kuziepuka
    Опубликовано: 2 года назад
  • Вопрос украинских территорий решён? / Зеленский едет на встречу 11 часов назад
    Вопрос украинских территорий решён? / Зеленский едет на встречу
    Опубликовано: 11 часов назад
  • НАДЕЖДИН: 12 часов назад
    НАДЕЖДИН: "Наши власти сильно напряглись - я видел". Что было с Наоко, кто при Путине, РЕГИОНЫ, мир
    Опубликовано: 12 часов назад
  • Je  Uchungu Kuanzishwa Kwa Mjamzito Huhitaji Vigezo Gani? (Sababu 11 za Kuanzishiwa Uchungu)!! 2 года назад
    Je Uchungu Kuanzishwa Kwa Mjamzito Huhitaji Vigezo Gani? (Sababu 11 za Kuanzishiwa Uchungu)!!
    Опубликовано: 2 года назад
  • JINSI YA KUHESABU SIKU YA KUJIFUNGUA MJAMZITO 5 лет назад
    JINSI YA KUHESABU SIKU YA KUJIFUNGUA MJAMZITO
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Mama mjamzito anaweza kujifungua kuanzia wiki ya ngapi??. Uchungu wa kawaida huanza lini?? 5 лет назад
    Mama mjamzito anaweza kujifungua kuanzia wiki ya ngapi??. Uchungu wa kawaida huanza lini??
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Vifaa vya kujifungulia mama mjamzito|Vifaa muhimu kwenye maandalizi ya kujifungua 😉 2 года назад
    Vifaa vya kujifungulia mama mjamzito|Vifaa muhimu kwenye maandalizi ya kujifungua 😉
    Опубликовано: 2 года назад
  • KUOKA KEKI KWENYE JIKO LA MKAA NA SUFURIA BILA VIFAA MAALUM | KEKI LAINI NA YA KUCHAMBUKA BILA OVEN 4 года назад
    KUOKA KEKI KWENYE JIKO LA MKAA NA SUFURIA BILA VIFAA MAALUM | KEKI LAINI NA YA KUCHAMBUKA BILA OVEN
    Опубликовано: 4 года назад
  • Je Madhara Ya Kutokunywa Maji Ya Kutosha Kwa Mjamzito NI Yapi?| Faida ZA Unywaji Maji Kwa Mjamzito!! 1 год назад
    Je Madhara Ya Kutokunywa Maji Ya Kutosha Kwa Mjamzito NI Yapi?| Faida ZA Unywaji Maji Kwa Mjamzito!!
    Опубликовано: 1 год назад
  • Je Matunda Ya Kula Mjamzito Ni Yapi? (Matunda 20 Muhimu Kwa Mjamzito) 2 года назад
    Je Matunda Ya Kula Mjamzito Ni Yapi? (Matunda 20 Muhimu Kwa Mjamzito)
    Опубликовано: 2 года назад
  • UPUNGUFU WA DAMU KWA WAJAWAZITO 2 месяца назад
    UPUNGUFU WA DAMU KWA WAJAWAZITO
    Опубликовано: 2 месяца назад
  • JE TAREHE YA MATARAJIO KUTOKANA YA ULTRASOUND HUWA NI SAHIHI? | TAREHE YA MATAZAMIO YA KUJIFUNGUA! 3 года назад
    JE TAREHE YA MATARAJIO KUTOKANA YA ULTRASOUND HUWA NI SAHIHI? | TAREHE YA MATAZAMIO YA KUJIFUNGUA!
    Опубликовано: 3 года назад
  • ГОТОВ ДОКУМЕНТ! КОНЕЦ ВОЙНЫ! КРЕМЛЬ В ПРОЛЕТЕ! ПУТИН ГОТОВИТ РОССИЮ! БЮДЖЕТ НЕ ВЫТЯНЕТ! | В ТРЕНДЕ 10 часов назад
    ГОТОВ ДОКУМЕНТ! КОНЕЦ ВОЙНЫ! КРЕМЛЬ В ПРОЛЕТЕ! ПУТИН ГОТОВИТ РОССИЮ! БЮДЖЕТ НЕ ВЫТЯНЕТ! | В ТРЕНДЕ
    Опубликовано: 10 часов назад
  • Je Dalili ZA Uchungu WA Uongo Kwa Mjamzito NA Sababu Zake NI Zipi? | Uchungu Usiohalisia! 1 год назад
    Je Dalili ZA Uchungu WA Uongo Kwa Mjamzito NA Sababu Zake NI Zipi? | Uchungu Usiohalisia!
    Опубликовано: 1 год назад
  • Dalili ZA Mimba Changa Ya Mapacha Ya Miezi 2 AU Wiki 8 Kwa Mjamzito| Mimba Ya Mapacha Ya Wiki 8 2 года назад
    Dalili ZA Mimba Changa Ya Mapacha Ya Miezi 2 AU Wiki 8 Kwa Mjamzito| Mimba Ya Mapacha Ya Wiki 8
    Опубликовано: 2 года назад
  • Wiki Ya 40 Hakuna Uchungu Fanya Mambo Haya!! | Mimba Ya Wiki 40 AU Zaidi! 7 месяцев назад
    Wiki Ya 40 Hakuna Uchungu Fanya Mambo Haya!! | Mimba Ya Wiki 40 AU Zaidi!
    Опубликовано: 7 месяцев назад
  • Что убрали из плана Трампа. Шаман не скинулся на генераторы. Единоросс хотел украсть «гробовые» Трансляция закончилась 10 часов назад
    Что убрали из плана Трампа. Шаман не скинулся на генераторы. Единоросс хотел украсть «гробовые»
    Опубликовано: Трансляция закончилась 10 часов назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5