У нас вы можете посмотреть бесплатно 5. Jinsi ya Kuingiza na Kufanya Kazi na Tarehe katika Excel или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu tena kwenye sehemu ya tano ya kozi yetu ya Microsoft Excel! Katika video hii, tutajifunza jinsi ya kuingiza values za tarehe kwenye Excel kwa usahihi. Kuingiza tarehe ni muhimu sana kwa ufuatiliaji wa muda, kupanga ratiba, na kufanya mahesabu yanayohusisha tarehe. Utajifunza mbinu rahisi za kuhakikisha data zako za tarehe zinafanya kazi vyema kwenye Excel. ⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐ 🎥 Karibu sana kwenye Channel ya Mohamed Hafidh! 🎥 Jina langu ni Mohamed Hafidh, na hapa utajifunza mengi kuhusu: 🔹 Teknolojia 🔹 Afya 🔹 Mazingira 🔹 Sayansi 🔹 Motisha …na mengine mengi ya kuvutia! 🎉 📌 Lengo langu ni kukusaidia kujifunza na kukua, huku ukifurahia safari yako ya maarifa. Naamini kuwa kila mmoja ana uwezo wa kufikia malengo yake 💪. 🌟 Kumbuka kujiunga nasi! 🌟 👉 Bonyeza kitufe cha Subscribe ili upate video mpya kila mara 👉 Washa kengele 🔔 ili usipitwe na taarifa mpya 🔗 Ungana nami kwenye mitandao ya kijamii kwa updates zaidi: 📱 WhatsApp Channel: https://whatsapp.com/channel/0029Vadg... 📱 Telegram Channel: https://t.me/mohamedhafidh_tz 📸 Instagram: / mohamedhafidh_tz 🎥 TikTok: / mohamedhafidh_tz 📺 YouTube: / @mohamedhafidh255 Asante kwa kuwa sehemu ya community yangu! Tunajifunza na kukua pamoja! 🙏 #excel #kompyuta #microsoft