У нас вы можете посмотреть бесплатно RC Makonda amuomba kitu Rais wa Zanzibar || Tazama!!! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amemuomba Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi kuiunganisha Zanzibar na Mkoa wa Arusha kwenye sekta ya utalii ili kuwezesha mabadilishano ya watalii wa pande hizo mbili. Pia amemuomba kutangaza fursa na vivutio vya uwekezaji vilivyopo mkoani Arusha katika azma ya kutimiza maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuongeza vyumba na vitanda vya kulala wageni mkoani Arusha. Makonda ametoa maombi hayo leo Mei 17, 2024 mbele ya Rais wa Zanzibar Dk Mwinyi akiwa ndiye mgeni rasmi kwenye semina maalumu ya wanahisa wa Benki ya CRDB, inayofanyika kwenye Kituo cha kimataifa cha Mikutano mjini Arusha - AICC.