У нас вы можете посмотреть бесплатно KUFURU JAMANI!! UZURI WA MAJENGO HAYA MAPYA YA KISASA HOSPITALI YA RUFAA NJOMBE YANAVUTIA HATARI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Serikali imekamilisha ujenzi wa majengo ya kisasa pamoja na kuanza kufunga vifaa vya kisasa vya huduma za magonjwa ya dharula pamoja na ajali katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Njombe kwa ghalama ya shilingi Bilioni 3.8 fedha ambayo ni ya miradi ya kuboresha afya kupitia mkopo wa IMF kwa ajili ya kupambana na UVIKO - 19. Dkt.Godlove Mbwanji ni mkurugenzi mtendaji wa hospitali ya fufaa ya kanda ya mbeya,kwa niaba katibu mkuu wizara ya afya amesema wananchi wa mkoa wa Njombe wanatarajia kuanza kupata huduma za kibingwa kwa kuwa utekelezaji wa miradi umekamilika kwa 100%