У нас вы можете посмотреть бесплатно DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Septemba 26, 2025 | Jioni | Swahili Habari leo или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Miongoni mwa tuliyokuandalia kwenye DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Septemba 26, 2025 | Jioni | Swahili Habari leo ni pamoja na: Shinikizo la kimataifa dhidi ya Israel inayoendesha vita vyake vinavyoelezwa na wataalamu wa Umoja wa Mataifa kuwa mauaji ya kimbari kwenye Ukanda wa Gaza, linazidi kuongezeka. Utafiti mpya uliofanywa na Taasisi ya Kitaifa ya Utafiti wa Tiba Kenya (KEMRI) kwa ushirikiano na wanasayansi wa kimataifa umebaini kuwa mabadiliko ya tabianchi yamesababisha kubadilika kwa tabia za mbu aina ya Anopheles Funestus, wanaoeneza ugonjwa wa malaria. #DWKiswahili #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.