У нас вы можете посмотреть бесплатно FUNDI WA 'ALUMINIUM' ASIYEONA, MSOMI WA PhD или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DAR ES SALAAM: NI mfano wa kujitoa ili kuwa kioo kwa wale wote waliokata tamaa ya kujaribu, kisa tu wanaishi na ulemavu au watu wenye mahitaji maalum. Raphael Mwambalaswa, msomi asiye na uwezo wa kuona. Kwa sasa ni Mhadhiri Msaidizi Chuo Kikuu Kishiriki Cha Elimu Dar es Salaam (DUCE). Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamivu (PhD) inayolenga kuhakikisha kila mtoto mwenye changamoto ya ulemavu wa uoni anapata mafunzo ya vitendo 'functional skills', jambo lililomsukuma kujiunga na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) katika fani ya ufundi aluminiam 'aluminium works' inayohusisha utengenezaji wa vifaa vya aluminiam. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09