У нас вы можете посмотреть бесплатно NMB WATOA MKOPO WA RIBA NAFUU YA ASILIMIA 9 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KOROGWE Imeelezwa kuwa tija katika sekta ya kilimo, uvuvi na ufugaji inaweza kupatikana endapo wakulima na wafugaji watahudumiwa na taasisi za kibenki kwa kupata uwezeshaji wa mikopo yenye riba nafuu. Hayo yamesemwa na Wogofya Falamagoa meneja mwandamizi wa benki ya NMB idara ya Kilimo kutoka makao makuu Dar es Salaam, katika semina ya kuwajengea uwezo wakulima na wafugaji kutoka wilaya zote za mkoa wa Tanga, warsha ikifanyika mjini Korogwe. Washiriki wa semina hiyo Magreth Fillipo na Thobias Nungu wamesema NMB imewasaidia kuwaunganisha na kubadilishana ujuzi, na kuongeza kuwa ili waweze kuishi katika dhana ya kilimo biashara hawana budi kutumia mikopo ya benki ili waweze kuboresha mitaji yao midogo. Katika semina hiyo, washiriki wameweza kuelezea huduma wanazotoa kupitia kazi zao za ufugaji na kilimo, kupeana mbinu za masoko kama vile mnyororo wa thamani na kutengeneza mtandao unaowaunganisha wao na benki ya NMB