У нас вы можете посмотреть бесплатно DC KIBAHA AJILIPUA kwa RAIS SAMIA - ''LIWALO NA LIWE, NITAMUAMBIA, MUNIOMBEE NISITUMBULIWE''.. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DC KIBAHA AJILIPUA kwa RAIS SAMIA - ''LIWALO NA LIWE, NITAMUAMBIA, MUNIOMBEE NISITUMBULIWE''.. Mkuu wa wilaya ya Kibaha, Sara Msafiri ameshusha ushuru wa maliasili unaopaswa kulipiwa na wafanyabiashara na wabebaji mkaa wanaotumia bodaboda maarufu( WAKUBETI ),kutoka 37,500 Hadi 30,000 ili kuondoa changamoto ya kukwepa ushuru Hali iliyokuwa inasababisha kushuka kwa mapato katika wilaya hiyo. Kauli hiyo imetolewa leo Kibaha katika mkutano wa kujadili changamoto mbali mbali zinazowakabili wafanyabiashara wa mkaa pamoja na wabebaji kufuatia mapato kushuka kwa kiasi kikubwa hali iliyopelekea Mkuu wa wilaya hiyo kuitisha mkutano huo ili kujua changamoto zao za kukwepa ushuru wa halmashauri. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline