У нас вы можете посмотреть бесплатно Makubaliano ya UDA na ODM yamefanyika kuhusu ajenda kumi или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Rais william Ruto na kinara wa ODM Oburu Oginga hii leo wamepokea ripoti ya utekelezaji wa makaubaliano yaliofanywa kati ya chama cha UDA na ODM kuhusu ajenda kumi. Ripoti hiyo imewasilishwa na kamati ya wanachama wa vyama hivyo vilwili wakoingozwa na aliyekuwa seneta wa kwale na katibu mkuu wa zamani wa ODM agnes zani. Mkutano wa kuwasilisha ripoti hiyo umefanyika siku chache baada ya wapinzani wa muungao wa UDA na ODM kusema kuwa makubaliano ya awali yaliofanywa na rais ruto na marehemu raila odinga yalikuwa yamepitwa na wakati baada ya muda kuisha.