У нас вы можете посмотреть бесплатно MANENO MAZURI YA KUMWAMBIA MKE WAKO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
FURAHA YA NDOA: Wengi wanaweza kuongea lakini wachache wakajua nini cha kusema. Somo hili ni maalum sana kwa kuimarisha mizizi ya ndoa zetu na kutufundisha kinyume cha maneno ambayo hutakiwi kumwambia kabisa mpenzi yaani maneno mazuri ya kumwambia mke wako. Ungana na mwalimu Abdulrazak Issa akifundisha mambo matano ambayo kila mwanamke anapenda kuyasikia, na tusisahau maneno yana nguvu kubwa sana katika kufanya baadhi ya mambo yatokee katika maisha yetu. . LINK YA SOMO HILI: • MANENO MAZURI YA KUMWAMBIA MKE WAKO . Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine. . NIFUATE MITANDAONI INSTAGRAM: / abdulrazaki.issa . BIASHARA NA MATANGAZO: EMAIL: successpathnetwork@gmail.com PHONE: Text | Whatsapp : (+255)759191076 #Mfurahishe #Mkeo #SPN