У нас вы можете посмотреть бесплатно UCHANGANUZI | Waliopenya na waliokwama mchakato wa mchujo CCM - Yaliyowapitisha na kuwakwamisha или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Baada ya CCM kutangaza majina ya watia nia waliofanikiwa kupita kwenye mchujo wa awali wa chama hicho kuelekea kwenye kutafuta wagombea wa Ubunge kwa tiketi ya chama hicho kwenye Uchaguzi ni wazi kuna vilio na vicheko sambamba na mambo ya kushangaza. Wachambuzi wa siasa Said Msonga na Dkt. Mbunda wanatueleza mambo muhimu yaliyosaidia kuwapitisha walioshinda na kuwaengua walioshindwa bila kusahau nini kitarajiwe kuelekea kwenye mchujo wa pili wa njia ya kupigiwa kura unaowasubiri wale waliopenya kwenye chekeche la kwanza. Nurdin Selemani ndio muongozaji wa UCHANGANUZI.