У нас вы можете посмотреть бесплатно BILIONI 27 ZA MRADI WA TACTIC KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI MANISPAA YA MTWARA MIKINDANI. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wananchi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani Mkoani Mtwara, wamejitokeza kwa wingi kwenye Hafla ya utiaji saini nyaraka za mradi wa TACTIC utakaogharimu Bilioni 27 ambapo miundombinu mbalimbali inakwenda kujengwa katika Manispaa hiyo ikiwa ni pamoja na Stendi kuu ya Mabasi ya Mkoa huo, CHIPUPUTA. Mgeni rasmi katika Hafla hiyo iliyodanyika Oktoba 10, 2025 katika Viunga vya Mashujaa Park Manispaa ya Mtwara Mikindani ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala. SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YA FAIDA ONLINE TV ILI KUPATA HABARI ZETU