У нас вы можете посмотреть бесплатно M-Pesa Yawashangaza Wageni Kenya – Lakini Kwanini Tanzania Wameachwa Nyuma? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
M-Pesa imekuwa gumzo duniani kote, lakini wageni wanaotembelea Kenya wanasema huduma hii ya kifedha ni ya kipekee kabisa. Katika video hii tumekusanya maoni ya wageni kutoka China, Marekani, na Afrika Magharibi kuhusu namna walivyoshangazwa na M-Pesa na tofauti kati ya Kenya na Tanzania. Wengine wanasema M-Pesa ni huduma bora zaidi ya kifedha duniani, wengine wanadai Kenya imeishinda Tanzania kwa mfumo bora zaidi wa malipo ya simu. Lakini swali kubwa linasalia – kwanini Tanzania imeachwa nyuma? Karibu Mizuka Media, chaneli yako ya burudani, siasa na lifestyle inayokuletea habari motomoto kutoka Kenya 🇰🇪, Tanzania 🇹🇿 na Afrika Mashariki kwa ujumla. Usisahau kusubscribe na kuacha comment yako – je, unadhani M-Pesa inafaa kuenea duniani kote? #Mpesa #KenyaVsTanzania #MizukaMedia #LifestyleKenya #Watanzania #Wakenya